Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vyakula gani utumie ili kuondoa tatizo la msongo wa mawazo
Tumia mchanganyiko wa asali na maziwa kwenye kiombe cha chai na unywe kila siku kabla ya kulala: jinsi ya kutengeneza. Chemsha maziwa yako, yachuje kisha weka kiasi kwenye kiombe, kisha chukua vijiko viwili vya asali wek na uchanganye kisha kunywa taratibu kama hutumii asali basi tumia almond au lozi kwa lugha ya Kiswahili ama unaweza kutumia maziwa ya nazi.
 
IMG_3072.jpg
 
Tengeneza uji wan dizi mbivu na unywe kabla ya kulala kila siku: jinsi ya kutengenea, chukua ndizi laini zilizoiva sana kisha katakata na uzipike kwa maji safi kiasi mpaka ziwe uji, baada yah apo epua weka zipoe na kisha kunywa uji wake kila usiku.
 
vile ambavyo ni muhimu kuwa navyo kila siku na vimetajwa kwa wingi katika post yetu.

Wallet – ni muhimu katika kuhifadhi vitu vidogo vidogo kama pesa, vitambulisho, card za bank, picha nakadhalika hii inakufanya uwe na vitu muhimu katika sehemu moja na kujua kipi ukipate wapi na pia inapunguza mzigo katika hanbag yako
 
makeup bag – makeup bag inasaidia kuweka makeup zakona vitu vyako vya urembo kama perfume, nail cutter, lip balms, lipstick, wipes,pads, makeups etc hii pia inakupa urahisi wa kubeba vitu vichache make up bags huwa ndogo fulani kuliko kutupia vitu tu kwenye handbag unaweza ukajikuta una hamishia dressing table nzima kwenye handbag lakini ukiwa na makeup bag unakuwa limited na unaanza kuchagua kipi muhimu kuwa nacho na kipi si cha muhimu.
 
Back
Top Bottom