Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Linapo kuja swala la kununua na kuzijali jeans ina weza ikawa very tricky, mara nyingi hutokea unanunua suruali,shirt au coat la jeans ukilifua basi huwa zina tabia ya kunywea/ au kuwa ndogo hii inatokana na kwamba zinapo tengenezwa kwenye kampuni moja kwa moja hupelekwa sokoni wakati material yaliyo tumika kutengenezea bidhaa hizi ni raw,
 
unsanforized denim, Hii ikimaanisha no shrink applied during the production process. Kwa kuliona hilo kampuni ya jeans ya Levis imetoa tips ya nini ufanye ili kuondokana na tatizo hili & there is no better place to learn than at maker-self.
 
katika ulimwengu wa urembo wa kucha inaonekana kuna ingizo jipya last time we checked metallic nails ndio zilikua zina trend lakini kwa sasa Crystal Rose Quartz ndio ipo kwenye chat, well kwa wadada wanao penda rangi zilizo tulia katika kucha hii ina wafaa sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
IMG_3078.jpg
 
Back
Top Bottom