Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naomba rejea yako , ni kitabu kipi cha afya ulichofanya rejea ili nami nikajiridhishe kwa kusoma hapo panaposema tuoge maji baridi. Maana ninavyofahamu mm ni kuwa maji ya kyoga yanafaa yawe na uvuguvugu kwa sababu yakurekebisha joto la mwili , baridi au moto si muafaka
Mkuu naomba refferance yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…