Kipengele muhimu katika mkataba huo kilikuwa kuongezeka kwa nguvu za mabaraza ya majimbo na manispaa, lakini hakuna magavana wa kuchaguliwa na kuanzia mwaka huu iwe mwisho kwa meya waliochaguliwa. Kutokana na makubaliano hayo hakutakuwa na uchaguzi wa mameya Oktoba mwaka huu.