Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Taarifa hiyo ya Ijumaa mchana ilisema kutakuwa na haja ya kuwa na marekebisho ya katiba ya haraka, ambayo yataingiza muundo wa majimbo, wilaya na manispaa sawia. Kutakuwa na baraza la kuchaguliwa kama ilivyo sasa katika majimbo na manispaa na kutakuwa na wilaya kuanzia mwaka 2024.
 
Baraza litapendekeza jina la mtu ambaye atateuliwa na Serikali Kuu kama gavana wa jimbo, mtawala wa wilaya au meya.
 
Uteuzi wote lazima ufanywe na kundi la waliowengi bungeni – chama kimoja au muungano. Gavana, msimamizi, na meya watawajibika kwa mabaraza yao na Nyusi alisema kuwa mabaraza ya wilaya na majimbo yatakuwa na uwezo wa kumfukuza gavana wao na msimamizi. Rais hakutaja kama mabaraza ya manispaa yana mamlaka kama hii.
 
Katika ngazi ya jimbo kutakuwa na katibu wa serikali aliyeteuliwa na Rais kufanya kazi ambazo zitakuwa hazijagatuliwa. Haijafafanuliwa, lakini inafikiriwa kuwa watu wa namna hiyo hiyo watateuliwa na serikali kuu katika ngazi ya wilaya na manispaa.
 
Mapambano ya kuwania uongozi nchini Kenya sasa yamehamia kwenye uwanja wa kidiplomasia baada ya Raila Odinga na chama cha Jubilee kujibu taarifa ya pamoja ya mabalozi 11, wakiwamo wa Marekani na Uingereza kuhusu mvutano uliopo nchini.
 
Mwishoni mwa wiki iliyopita, mabalozi wa Finland, Norway, Denmark, Australia, Ufaransa, Uholanzi, Uswisii, Canada, Ujerumani, Uingereza na Marekani walitoa tamko la pamoja lililohimiza Serikali ya Kenyatta na Odinga kuheshimu maadili ya kidemokrasia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…