1919. Ukame uliambatana na nzige. Hata vitabu vya historia vinathibitisha !!!Hivi ilikuwa ni mwaka gani vileee,hebu nikumbushe[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ama ni Photoshop au ni mbwembwe tu za kutaka kuonekana. Hakuna rais mwenye mbwembwe na mikogo kama Putin...
Sina mamlaka hayo. Kila mtu atumie common sense yake kwa sababu sote tuna akili timamu hapa. Picha hiyo sijaiweka mimi na sijui nahusikaje nayo. Ujumbe huu umfikie mhusika...SHIMBA YA BUYENZE rekebisha hili tatizo. Picha haifai mida hii
Dhambi nazo king'ang'anizi dah. Mtu unaamka asubuhi kwa nia njema kabisa mara paaaap ushasema kauongo tayari... Tutaokolewa kwa neema tu kwa kweli na si vinginevyo...[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mithali 28:13
Afichaye dhambi zake hatafanikiwa; Bali yeye aziungamaye na kuziacha atapata rehema.
Umekapenda? Nikurushie namba? [emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Hahaa, ka nani haka? Hapo ni wapi, Kunduchi beach?
Kesho ndiyo unapotea kwa wiki nzima? Utaaga?Klabu ya hull City imewashukuru wale wote waliomsaidia kupona katika kipindi cha miezi 12 iliopita.