Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yeuwiii....

Kuna documentary hapa wanaeleza symbols maarufu kule Marekani na maana zake, ni mambo ya Freemasonry, miungu, Night Templar na mambo kibao ya "giza giza". Mji wa Washington DC ndo kabisaa...Kuna mengi hatuyajui katika ulimwengu huu....
Indeed
Dawa yake usiogope hata kimoja
Nyama kula mifupa tema
USA imejengwa na Freemasonry
Kuanzia Jesuit ambayo imeanza Vatican
Ni history nzuri sana maana hii mijitu ni genius walahi!
Yaani wanakuibia socks uliyovaa na wanakuachia kiatu bila wewe kujitambua!
I truly love and admire hawa watu kwa kweli!
 
Chama Tawala Afrika Kusini ANC kimesema hakitoweza kusubiri kujiuzulu kwa Rais Jacob Zuma zaidi ya leo.
_
Ni baada ya Rais huyo kuomba kujiuzulu ndani ya miezi mitatu au sita, ANC imesema leo ndio mwisho na asipojiuzulu watafata utaratibu wa kura ya kutokua na imani nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…