Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Hahaaaaaaa PoleeBeef Lasagna, unatutega bhana! Weekend hii ujue! [emoji23][emoji23]
Mkate wa bofulo huu. Unalainika hata kwa mvuke wa chai tu....
Wameaga dunia?
Mgonjwa pumzika [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Beef Lasagna, unatutega bhana! Weekend hii ujue! [emoji23][emoji23]
Enheee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] CHAWAMITA beibiiii...
Shimba nataka ukamu...
Sawa mkuu. Zima simu. Zima kompyuta. Zima TV. Kaa kwenye bathtub kwa lisaa limoja hivi just relaxing and meditating1. Deep breath. Positive thoughts...chakula chepesi (supu ya moto na/au tangawizi) halafu lala kwa kadri inavyowezekana....
Hii kupumzika wakati umekaza macho kwenye simu/TV/Kompyuta siyo real kupumzika kwa sababu ubongo unakuwa bado unashughulika sana kuprocess mambo kibao.