Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

carbamazepine, nilikuwa nakuja zangu hapa mdogo mdogo, nikapitia mtaa wa pili hapo! Naona kuna liuzi lirefuu, na wewe nimekuona hapo. Kuna nini? JF hii bana, hatari!
Weee acha tu.
Huko mambo ni hiviii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Watu wanachafuana huko hatari.

Waendeleaje lakini na flu?
 
Hahaa, aisee! Mi naendelea vizuri kabisa! Basi weekend njema!
Huo uzi ni part3 sijui4 yaani acha kabisa.
Kuna nyingine kama 3 hivi zimefutwa.

We mkongwe humu ndani ila nakusihi uwe makini na watu unaowasiliana nao pm si kila mtu ni mzuri kwakweli.


Eniwei,ugua upona haraka.
Uwe na weekend njema pia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Hahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…