Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huo uzi ni part3 sijui4 yaani acha kabisa.
Kuna nyingine kama 3 hivi zimefutwa.
We mkongwe humu ndani ila nakusihi uwe makini na watu unaowasiliana nao pm si kila mtu ni mzuri kwakweli.
Eniwei,ugua upona haraka.
Uwe na weekend njema pia[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Pamoja mkuu mambo niajePamoja sana Kiongozi
Mkuu Tribe called westHii ni Kibao Murua sana
Ilete hivyo hivyo. Tena badala ya chumvi weka sumu ya panya. Nitainywa kwa furaha !!!Yaani nilikuwa nakuandalia chai nikuletee,ila aaagrrr!!
Naweka chumvi[emoji35][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Hii vita sijui itaisha lini walah[emoji23][emoji23][emoji23]
Air Jordan
Jamaa alinishawishi sana kupenda na kucheza b ball
Kama ni hivyo ni vizuri sana.Asante sana! PM nilitumia kipindi cha nyuma, tena na watu ambao bado tunawasiliana nao kwa namna nyingine! Very good friends of mine, good people! Na siku hizi wala siwaoni humu, wako busy na maisha yao! Siku hizi hata kunusa sinusi hiyo PM!
Jennifer Mugendi...Mtumishi...
Joyce Kiria wa kwanza.......
WhoMganga mashuhuri kutoka Nigeria
Mkuu mkuu[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kichwa kichafuMchungaji maarufu toka Nigeria
Ho chi MinhNabii anayekubalika toka Nigeria
Mods wamefanya nini?Nimekuja maaa, Mods si kwa ukatili ule jamani..LOL
Hahahahaha ho chiTapeli maarufu toka Nigeria
Bob 12Gaidi maarufu toka Nigeria
Upendo Nkone. Hakuna madoido wala nini. Ni utumishi uliotukuka kwa kwenda mbele...
Hivyo siwezi kwakweli,nakuwekeaje sumu kwa mfano??Ilete hivyo hivyo. Tena badala ya chumvi weka sumu ya panya. Nitainywa kwa furaha !!!
Shimba yaMwandishi maarufu wa vitabu toka Nigeria
MhhhhhhMwanaharakati maarufu toka Nigeria