Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Kazi kubembelezwa tu hamna lolote. Si ajabu hata hakaumwi...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushapona. Mungu ni mwema...Hahaaa... Wameshaibuka, bado yule bingwa, si ajabu anashuka na jibapa sasa hivi! Kwema lakini? Sasa unafikiri bila mubembelezo atapona mtu kweli hapa? [emoji1][emoji1]
Maisha Cole ni mazuri sana kwakweliMbona unafurahi peke yako mrembo
Wamefunga uzi wa ubuyuuMods wamefanya nini?
Uzi utakuwa unachekesha sanaMaisha Cole ni mazuri sana kwakweli
Nimeghairi[emoji23][emoji23][emoji23]Tupo. Peleka hiyo "Juicy" mgonjwa apone haraka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu unakuta maneno haya yemeandikwa juu ya kibukta na binti ana msambwanda wa uhakika yaani akitembea mtimbwiliko wake utafikiri ethikweki 9.0 kwenye richta skeli. Huwa natatizika sana !!!JUICY
Wanachama wa jf,wanavuana nguo hukoZilikuwa zinahusu nini?
Ubuyu ulikuwa unahusu nini? Mbona hamsemi?Wamefunga uzi wa ubuyuu
Waweza ukawa sio "juicy" lakini una "juicy". Kuna tofauti [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Nimeghairi[emoji23][emoji23][emoji23]
Nisijepitwa na matukio bureeee
Halafu sio "juicy" Muone[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama ulipata screenshot/picha nirushie...Wanachama wa jf,wanavuana nguo huko
Watu wanaanikana picha zao nyingine zile za chumbani[emoji87] [emoji87]
We unazo izo pichaWanachama wa jf,wanavuana nguo huko
Watu wanaanikana picha zao nyingine zile za chumbani[emoji87] [emoji87]
Huo ubuyu uko wapi jamani naugua hukuWanachama wa jf,wanavuana nguo huko
Watu wanaanikana picha zao nyingine zile za chumbani[emoji87] [emoji87]
Tutakuwa wote...wawili katika umoja..[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Akiii leo nalala jeiefu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Walahi ngoja nibadilishe device tu ya ku log humu leo[emoji23][emoji23][emoji23]
Leo nakuwa popo wa kujitolea
Ha ha ha bro bhanaHalafu unakuta maneno haya yemeandikwa juu ya kibukta na binti ana msambwanda wa uhakika yaani akitembea mtimbwiliko wake utafikiri ethikweki 9.0 kwenye richta skeli. Huwa natatizika sana !!!
Wamefunga uzi wa ubuyuu
Hujauona mwingine inamana?Wamefunga uzi wa ubuyuu
Acha tu.Uzi utakuwa unachekesha sana