carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu unakuta maneno haya yemeandikwa juu ya kibukta na binti ana msambwanda wa uhakika yaani akitembea mtimbwiliko wake utafikiri ethikweki 9.0 kwenye richta skeli. Huwa natatizika sana !!!
Hivi unanini lakini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waweza ukawa sio "juicy" lakini una "juicy". Kuna tofauti [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Ubuyu wenyewe umeanza siku nyingi sana sema leo nso ulipamba moto.Kama ulipata screenshot/picha nirushie...
Mambo ya PM hayo. Tuwe waangalifu jamani...
SINAWe unazo izo picha
Nimejikuta naupenda ubuyu huo alaf umefutwaDadake na wewe unapenda ubuyu? [emoji1][emoji1]
Mmu hukoHuo ubuyu uko wapi jamani naugua huku
Umeanza....Gubu......Hujauona mwingine inamana?
Pole wii ubuyu unaendelea na picha juu.
Ila usiende huko baki hapa na sponsor Shimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Ole wako unikimbie sasa.Tutakuwa wote...wawili katika umoja..[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️