Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hujauona mwingine inamana?
Pole wii ubuyu unaendelea na picha juu.
Ila usiende huko baki hapa na sponsor Shimba[emoji23][emoji23][emoji23]
Wacha niende huko mie[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sponsor shimba ngoja nikuachie kwa muda

Sent from my Infinix HOT 4 Lite using JamiiForums mobile app
 
Watu niliowahi kuwasiliana nao PM hapa hawazidi wanne, na mara nyingi tunajadili mambo ya kawaida tu....

Mambo ya mtandao haya ni shida kwa kweli...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…