Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchunga kondoo. Hatuna watumishi wa umma hata mmoja...Watumishi wa umma walikuwa akina Nyerere na Sankara...
Mkuu wapo, tena wengi tu. Kinachokufanya leo usiwaone ni huu utandawazi. Jamii ya dunia ya leo inapenda kuhabarishana maovu ya watu, vita, wavunja sheria nk ndiyo mambo yaliyofunika vyombo vya habari. MAZURI yamefunikwa, siyo habari
 
Mbona sielewi sielewi
Utaelewa tu mkuu, mana hata kama hujui kusoma lakini picha ya mgombea kama ilivyobandikwa na BAK inasomeka vema
904324bd5f2ab99669d89f4d8079c00f.jpg
 
Back
Top Bottom