Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ubuyu wenyewe umeanza siku nyingi sana sema leo nso ulipamba moto.
Screenshots sikupata maana mwenyewe mwingine ulinipita.

[emoji117][emoji117][emoji117]humu ndani ni kuwa makini na watu unaowasiliana nao pm ama nje ya hapa.
Maana yaliyotumwa huko leo ni aibu tupu
Aseeee, kwahiyo ni full kuanikana eeeh
 
Back
Top Bottom