Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mchunga kondoo. Hatuna watumishi wa umma hata mmoja...Watumishi wa umma walikuwa akina Nyerere na Sankara...
Mkuu wapo, tena wengi tu. Kinachokufanya leo usiwaone ni huu utandawazi. Jamii ya dunia ya leo inapenda kuhabarishana maovu ya watu, vita, wavunja sheria nk ndiyo mambo yaliyofunika vyombo vya habari. MAZURI yamefunikwa, siyo habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…