Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ukiwa CCM nahisi upo safe au haya mawazo ya balimi maana nimewaza nikawazuwa huu upande niliopo ni shidaaa... Yule wa chadema aliyetewa na wasiojulikana .... Tumesahau [emoji22][emoji22][emoji22] huu upande nitakufa kwa machungu ya moyo ngoja nijitafakali upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…