Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ha ha ha nilimuona mtu amewaka sana halafu katukana matusi makubwa ya nguoni
Huko hiyo ni kawaida. Harakati si harakati ali mradi vurugu tupu. Jana nilimsikia mwingine anaropoka eti yuko tayari kufanya mashambulizi ya kujitoa mhanga. Imagine mental state ya mtu kama huyu ikoje. Si ajabu hata ISIS ban kaipatia huko huko....
 
5a55bccfa7e8205e9957eec947f8a389.jpg
 
Back
Top Bottom