ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
StareheNapenda kula bata, kuku, ng'ombe na mbuzi pia
StareheNapenda kula bata, kuku, ng'ombe na mbuzi pia
Unaogopa nini sasa mtoto wa mitaa ya donbosco?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli..Mianasiasa na misiasa yao. Kuifuatilia misiasa na mianasiasa ni mwanzo wa kujipatia magonjwa ya moyo, depression na hata BP. Ndiyo maana watu wengi kwenye jukwaa la siasa utafikiri ni vichaa. Ni symptoms za msongo mkali wa mawazo...
Michungu na mitamu..Mihogo
Nimefanyaje ssWe naweee[emoji57][emoji57][emoji57]
Kinahusu huu uchaguzi wa jana au kingine? Siasa mi hata kuzisikia kwa sasa sitaki kwa kweli...Nitonye ikiwezekana bro...Kweli kabisa kuna kitu niliona aisee nitakusimulia
Wakitaka kimombo cha ukweli si wamuone bro wa sekeseke la jana? Na mzalendo mwingine aitwaye Kiranga?Huu uzi ni kiboko[emoji23][emoji23][emoji23]
I am Looking for Friends Who speak English
Kulala fo fo fo siyo vizuri. Unaweza kupitiliza ukajikuta umekufa fo fo fo....Tulale fofofo[emoji445] [emoji445]
Sauti sol
Nimepita mitaa ya Msamvu nimemkuta Kichwa kichafu yupo hoi...Sijui kalipuliza la jua kali!!Mbona anafahamika hata kumtazama tu
Ha ha ha nilimuona mtu amewaka sana halafu katukana matusi makubwa ya nguoniKinahusu huu uchaguzi wa jana au kingine? Siasa mi hata kuzisikia kwa sasa sitaki kwa kweli...Nitonye ikiwezekana bro...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwema ndugu yangu?Nimepita mitaa ya Msamvu nimemkuta Kichwa kichafu yupo hoi...Sijui kalipuliza la jua kali!!
Hakika..Jozi jozi