myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
RMA 1 Rbet ,0 dakika ya 10
usisahau kubakiza cha mtotoNapenda kula
Inabidi ujue ukitaka like basi wewe comment usubiri like huku wenzako wakiwa wanakupatia pia.
Note ukiwa na comments 20 labda pages 2 za wenzako mtu akicheki haoni umelika yoyote karibu hata na ulipopost au kwingine
Basi jionee aibu usepe,
Kama unapenda burudani ni humu, like nawe ipate like
Kila mtu anafurahia burudani, sio lazima uwepo siku nzima unaweza kwenda na kuja kuanzia ulipoishia...
Najua unaweza kuta mtu hakupi like basi ukiamua kutompa ni sawa tu ni uamuzi wako.. kama inakukalisha humu kwa furaha.
Roho nyeupe, usiwe mziviaji hiyo skill hatuitaki hatuwezi kuitumia maishani ni mbaya usituleteeee eeeeeeeh
Lingin
Kuna mashindano ya kushika namba tamu
Test ni kuwa na post yenye namba 70,000 au 80,000 au 90,000 hizi ndizo zinafaya kwa sasa kabla ya mtihani mkubwa ambao ndio wa 100,000 unafata.
Utafurahia mashindano ni hakunaga uroda yaani posts hata 100 kwa dk1 au 2 zaweza mwagwa humu.
Ukiona watu wameandika road kuelekea 70k ujue ipo karibu
Karibu uburudike
Jaza ujazwe
Kama hautaki kujaza basi usikasirike kimoyomoyo usipojazwa
Uzi wa furaha na burudani
Karibuni
ISIS mtamjua tu, sijui analala saa ngapi😀😀😀
Missing my sister cocochannel[emoji19] [emoji19] [emoji19]Siasa zinatuharibu sana, upande wa kule nilikuwa siku pendi ila umekuja huku umeshepika umekuwa bonge la mrembo tena mwenye hekima. I love you... ila siyo ile ya kukupenda.Naomba usinichambe.. teh! Coco oyeeeeeeee
Mwenyewe nilishtuka sana...Ha ha ha nilimuona mtu amewaka sana halafu katukana matusi makubwa ya nguoni
Hakika Mungu ni mwema. Vipi huko mnaendeleaje jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwema ndugu yangu?
Ni wapi huko?Mwenyewe nilishtuka sana...
Dadaake alishuka tena kwa kumtaja jina kakaake...
Wengine alikuwa anawawakia sana lakini kwa kakaake alikuwa anashuka...
Hakika uzi wetu umetufanya tuwe ndugu...
Ule uzi kwa kweli usingemuacha dada salama... Tumuombee[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Uzalendo" kuna wanatumia vibaya maana yakeMyoya kauli Ngumu hii ya uzalendo
Kumbe uliona kule kuna maroho ya Ajabu sanaMwenyewe nilishtuka sana...
Dadaake alishuka tena kwa kumtaja jina kakaake...
Wengine alikuwa anawawakia sana lakini kwa kakaake alikuwa anashuka...
Hakika uzi wetu umetufanya tuwe ndugu...
Ule uzi kwa kweli usingemuacha dada salama... Tumuombee[emoji120] [emoji120] [emoji120]