Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
HahahahahaNaomba picha ya Dally Kimoko mkuu...Gitaa lake la solo nikilisikia hata kama msambwanda wa kutisha unapita huwa napotezea ...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanaume tumeumbwa mateso Mateso kuhangaika*Hakuna Msichana anakuwaga busy kama yule ambaye hakutaki. Anaweza kuambia goodnight saa nane mchana!*
Wanaume tunapitia mengi[emoji17][emoji17][emoji17]
Utaachaje kwa mfanoHahahahaha, ukila chenza usipendi sana kusikilizia utamu wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sambula matata[emoji41] [emoji41] [emoji41]Mkao gani huu