Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

c6d40c530591b148f47dcc9a427d2631.jpg
Siasa hovyo sana angalia my love kala ban
 
Mkuu, hujui safari yako itakamilikia wapi. Ni kumuomba Mungu tu...

Bingu wa Mutharika alipata heart attack akiwa ikulu ya Malawi akafariki. Ili kuzuga madaktari wake wakasema hajafa na ikatangazwa eti anakimbizwa Afrika Kusini kwa matibabu. Kufika uwanja wa ndege wakapata ndege lakini rubani akagoma kumsafirisha kama abiria na kusisitiza asafirishwe kama mzigo kwa sababu alikuwa ameshafariki. Walikaa airport karibu masaa matano. Ndiyo baadaye wakaondoka na maiti yao kwenda Afrika Kusini. Baadaye ndiyo eti ikatangazwa kuwa amefia Afrika Kusini.

Hata uwe na utajiri na madaraka ya aina gani siku pumzi ikikata basi unageuka mzigo. Ndiyo sisi binadamu. Hata tujidai na kujifaragua vipi, huku tukionea wenzetu na kuwatesa, mwisho wa siku tu mizigo tu ya kuliwa na funza na sisimizi...[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]. Hata tuzikwe na dunia nzima kama Mandela, au tuzikwe na mtu mmoja haijalishi sana. Safari yetu itakuwa imekoma....
Kweli mkuu nashangaa sana binadamu tunavyojibaragua
 
Back
Top Bottom