Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Naomba orodha ya vitabu ambavyo unadhani kuwa vimekifungua macho sana. The top three....Nimesoma vitabu vingi sana hila Forex inatakiwa kuwa active muda wote
Naomba orodha ya vitabu ambavyo unadhani kuwa vimekifungua macho sana. The top three....Nimesoma vitabu vingi sana hila Forex inatakiwa kuwa active muda wote
Hulali leo?Naomba orodha ya vitabu ambavyo unadhani kuwa vimekifungua macho sana. The top three....
Wameukata...Umeukata....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hulali leo?
Au Wameukata?
Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Wameukata...Umeukata....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaSiasa hovyo sana angalia my love kala ban
[emoji55] [emoji55] Usingizi ni kitu cha muhimu sana ujue, Wasiwe wanakukatia katia kila sikuWameukata...Umeukata....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa kweli maana niliwaangushia Mitusi mpaka nikajishangaa mwenyewe walahi uwiiiSiasa hovyo sana angalia my love kala ban
Halo halo shimbaWameukata...Umeukata....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna shida yo yote. Kuna ripoti ya muhimu sana nilikuwa naandika ndiyo imeniweka macho mpaka sasa saa tisa usiku.Jamaniiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Pole,shida ni nini?
Pole kwa ban sis...Hahahaha
Pole kwakweli.Hakuna shida yo yote. Kuna ripoti ya muhimu sana nilikuwa naandika ndiyo imeniweka macho mpaka sasa saa tisa usiku.
Hakuna anayeweza kunikatia usingizi binti. Ni pilika pilika za maisha tu. Nimekuchokora hapa tangu juzi sijakusikia. Kwema?[emoji55] [emoji55] Usingizi ni kitu cha muhimu sana ujue, Wasiwe wanakukatia katia kila siku
Amun Ra my dearestThe one and only
My lovely Queen
Kule wapi?Kulekule uliendelea ila leo naona kaja na id mpya[emoji23][emoji23][emoji23]
Jf raha
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]episode ya ngapi mama
Polee SYB... Jaribu kulala.Hakuna anayeweza kunikatia usingizi binti. Ni pilika pilika za maisha tu. Nimekuchokora hapa tangu juzi sijakusikia. Kwema?
Nikuulize wewe maana nimekuona mahala umeitwa na ukawahi siti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]episode ya ngapi mama
Naendaa [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Heeee!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Kule wapi?
Halafu hizi habari za Mzee wa River ni za kweli? [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
![]()