Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Wengine hatuna kazi za kufanya[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mnapoteza muda kafanyeni kazi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
Ile ya kyupi hukupata heart attack?Nilirud tena ooooopsiiiii
Nashukuru maana nilishaichukia jf ghafla
Nilipata heart attack
Ubuyu daah inasikitisha sana, Namuamini ndioo hamlagi jamani[emoji23]Unamwamini shemeji kipenzi mpaka uniache naye? Ubuyu huko umeukutaje?
hahahahahahaahhaAkhuuuu!!!sitaki kesi mie
Kaa hapa umbembeleze "dadii" ako,usije niponza bure[emoji23][emoji23][emoji23]
Daddy jamani nakuja kukubenbeleza na nyimbo za kikoromije[emoji6]Leo nagoma. Siendi mpaka unibembeleze....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imenikumbusha sehemu hii post
Nimegoma. Siendi. Tena Numbisa angekuwepo hapa angenitetea...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] imenikumbusha sehemu hii post
Kalale basi pls baby[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Ile kawaida mambo ya wanaumeeeeIle ya kyupi hukupata heart attack?
Pole maa
Nzuri sanaHabari za asbh Watanzania
Wiki mpyaJumatatu