Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaani unaniacha hapa unakimbia kuwahi ubuyu? Ina maana ubuyu ni muhimu kuliko miye? Yu disevu tu bi panishidi bigi taimu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuacha kwenye mikono salama (shemeji kipenzi) [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] Dadii nawe aki usinipanishi ntaumia Narudi saa hii hii
 
Heeee!![emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Hizi habari sijui mzee wa ini kazitoa wapi walah!!
Na hiyo comment sijaiona[emoji23][emoji23][emoji23]
Naweka picha laivu baadae kaa mkao wa kushangaa[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]

Halafu sijui kwanini huniamini naumia ujue?[emoji22][emoji22][emoji22]
Ukiweka picha laivu ndo nitaanza kukuamini....
 
Mnapoteza muda kafanyeni kazi [emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
a2890068595152c487f5337c43b33649.jpg
 
Back
Top Bottom