Imamu HusseinKwa kweli!
Kesho ni siku ya kumkimbuka Nabii Hussein!
He hee...The shape is very revealing
![]()
Ndizi choma Siku zote nzuri sanaJiji kasoro bahari, penda sana mie mishkaki ya Moro na ndizi zake mbivu ambazo ni tamu sana kuliko mkoa wowote ule Tanzania.
Amun Ra my dearPrecisely, she is the best!
Nimenunua simu mpya kwa hiyo picha zake hazikiingia wakati wa ku move data!
Aisee nimenunua IPHONE X
The best phone walahi!
Mpaka namuuliza Mola huyu aliye kuja na hii technology si amezaliwa na meanamke kama mimi?
Ninapokosea nionyeshe Mola wangu!
Yaani!
Pray for me!
Unampenda mtu mmoja tu bhn hiyo inatokea paleee unayempenda unashindwa kumwambia hivyo unaanza kutanga tanga maana ukiwa na mwingine unakuwa hun upendo naye kama yule unayempendaSasa huyu umemuona umempenda kesho umemuona mwingine umempenda yule wa jana humtaki tena. Hii penda penda ndiyo ambayo wanaume wengi huiogopa. Kupenda ya hovyo hovyo.
Unampenda mtu mmoja tu bhn hiyo inatokea paleee unayempenda unashindwa kumwambia hivyo unaanza kutanga tanga maana ukiwa na mwingine unakuwa hun upendo naye kama yule unayempenda
Wine nzuri sana kwa ajili ya mmen'genyo wa chakulaNa wine nyekundu