Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26285559_405219206564701_6392110581511356416_n.jpg
 
Tuombe Mungu waishie kama alivyoishia aliyekuwa Rais wa Misri Mubarak au madikteta mbali mbali duniani ambao walitumia nyadhifa zao kudhalilisha raia wenzao, kuwafanyia udhalimu mbali mbali ikiwemo kuwateka, kuwatesa na kuwaua ili tu waendelee kung'ang'ania madarakani.

Hakika siku yao yajaaa
 
Back
Top Bottom