Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26303180_1665016263557962_3331133440291504128_n.jpg
 
Inasikitisha na kuudhi sana. Nchi yenye utajiri mkubwa sana kuwa haina hata kitu cha kujivunia na raia wake wengi wanaishi katika ufukara wa kutisha. Na chanzo cha yote haya ni genge la mafisadi wachache ambao hawafiki hata 50 elfu ambao wenyewe wanajilimbikizia mali kwa njia za haramu.

Maisha magumuu
Yan ni tabuuu tupuuu
 
Back
Top Bottom