Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Amun Ra my dear
Mwenye Enzi Mkuu aendelee kukubaliki
 
Sasa huyu umemuona umempenda kesho umemuona mwingine umempenda yule wa jana humtaki tena. Hii penda penda ndiyo ambayo wanaume wengi huiogopa. Kupenda ya hovyo hovyo.
Unampenda mtu mmoja tu bhn hiyo inatokea paleee unayempenda unashindwa kumwambia hivyo unaanza kutanga tanga maana ukiwa na mwingine unakuwa hun upendo naye kama yule unayempenda
 
Ila ujue kwa wanaume wengi penzi kwake linakuwa si la kivile kwa jua kwamba unaweza kabisa kumuona mwingine naye ukampenda pia.

Unampenda mtu mmoja tu bhn hiyo inatokea paleee unayempenda unashindwa kumwambia hivyo unaanza kutanga tanga maana ukiwa na mwingine unakuwa hun upendo naye kama yule unayempenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…