Ok I guess niko kwenye corner! Mimi nitayarishie chai!Mwenye kuweza kufika hapa tupate jack Daniel itapendeza zaidi
Kabisaa mara mwingine aseme mama kwann dady anakupiga na hiv wnapenda mieleka utashangaaaHahahahaha
Uko samaki samaki?Samaki samaki
Kawaida kweliii mbn kama mm napitia wakat mgumuuuKawaida
HahahahaUjumbe umefika shimbaaaaaaa umemsikia my Queen
Mateso matesoooooKwa sababu umependa
Kaaazi kweli kweliKwa sababu umependa
Maisha magumuuTanzania si nchi salama tena, waandishi wa habari wanapotea, raia wanatekwa, kuteswa na kupotea, miili ya Watanzania inaokotwa ufukweni mwa bahari na huku Serikali ikiwa haisemi chochote kile.
Duh unaipataImamu Hussein
Maisha magumuu
Yan ni tabuuu tupuuu
Napokea baraka kutoka kwakoAmun Ra my dear
Mwenye Enzi Mkuu aendelee kukubaliki
Gd9t my dear!Wine nzuri sana kwa ajili ya mmen'genyo wa chakula