moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Aika maiI love you so much my mom Tanzania
Nakupenda sana mama yangu Tanzania
Ngikukundi sana sana to the sky and back!
Aika maiI love you so much my mom Tanzania
Nakupenda sana mama yangu Tanzania
Ngikukundi sana sana to the sky and back!
Majukwaa ya siasa yamechafuka, ukiwa na akili mbaya utachukua mambo ya mtaani na kuanza kutukana. Huko ni mwendo wa povu
[emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Halafu wewe uko makao makuu weekend hii mnadani msalato tupate Nyama choma
Karibu Dar mkuuWadau Wa likes bado nipo Moro
"Kula nanasi kwahitaji nafasi mchuzi wa ndimu wanitia wazimu, utalanda na njia utamaliza buchani nyama ile ile"- Chuchu Sound 2002
"Kula nanasi kwahitaji nafasi mchuzi wa ndimu wanitia wazimu, utalanda na njia utamaliza buchani nyama ile ile"- Chuchu Sound 2002
Namkumbuka mkuu, Vijana Jazz hiyoTunapishana sana mkuu
Unamkumbuka Kida waziri
Katikati ya kitabuThe shape is very revealing
![]()
Unatafuta nini kwa ambae huna upendo naye?Unampenda mtu mmoja tu bhn hiyo inatokea paleee unayempenda unashindwa kumwambia hivyo unaanza kutanga tanga maana ukiwa na mwingine unakuwa hun upendo naye kama yule unayempenda
Sijaziona, lakini nazisubiri tuUsipoona like yangu kuwa mpole nikikufikia utapata
PoaNalala nitarud baadae
Jukwaa la siasa, hakuna hoja, ni kashfa na matusi tuWapi Mkuu?