moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Salaam mkuu HARUFUSalama Kiongozi wangu.
Nimefurahi sana Kiongozi wangu kusikia umzima wa AFYA
Salaam mkuu HARUFUSalama Kiongozi wangu.
Nimefurahi sana Kiongozi wangu kusikia umzima wa AFYA
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mapishiWahenga walionja nyama ya bucha la Mwarabu na ile ya Mnyakyusa ili kujua ipi ni nyama tamu sana au utamu ni ule ule. Mapishi ya nyama zote yalikuwa ni yale yale na nyama ilipoiva na kuitia kinywani hitimisho la wahenga lilikuwa nyama zile zina utamu tofauti.
Jukwaa la siasa, hakuna hoja, ni kashfa na matusi tu
Jukwaa la siasa, hakuna hoja, ni kashfa na matusi tu
Salama Kiongozi.Salaam mkuu HARUFU
KEVIN HARTKing james
Ni kweli Kiongozi.Kweli my dear yaani mwezi wa tatu huo unakaribia
KEVIN HART (hapo Pichani) kwa LEBRON JAMES utafikiri amepiga Magoti vile!
Kumbe wote wamesimama
Kwa kauli hiyo wala sishangai.Mwenyewe katika picha hii alisema, “He is tall and I am very short .... I just wanted to point that out to a lot of you”
Asante sanaAsante my dear aminia sana
Hakika wewe ni goddess
Mwenyewe katika picha hii alisema, “He is tall and I am very short .... I just wanted to point that out to a lot of you”