Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wahenga walionja nyama ya bucha la Mwarabu na ile ya Mnyakyusa ili kujua ipi ni nyama tamu sana au utamu ni ule ule. Mapishi ya nyama zote yalikuwa ni yale yale na nyama ilipoiva na kuitia kinywani hitimisho la wahenga lilikuwa nyama zile zina utamu tofauti.

"Kula nanasi kwahitaji nafasi mchuzi wa ndimu wanitia wazimu, utalanda na njia utamaliza buchani nyama ile ile"- Chuchu Sound 2002
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…