Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

26282162_2031463120469957_1489207702897819648_n.jpg
safii
 
Ni kweli Mkuu si za nyuma jukwaa lile lilikuwa ni nguvu ya hoja. CCM ikaamua kuwamwaga buku 7 lakini wakijua fika hawawezi kushinda kwenye nguvu ya hoja kutokana na maovu na madudu chungu Serikalini. Hivyo wakawaambia matusi pia RUKHSA na ndiyo kuanza rasmi kwa matusi JamiiForums chanzo ni hao buku 7.
Aisee nilikuwa sijui hii
 
Back
Top Bottom