Karibu tena bageshi. Hongera kwa kula Valentine yako kwa raha na utulivu huko visiwani. Likes za kutosha zinakuhusu leo...Hahahahaha ila shimbaaa
Wabheja sana. Za humu,za likes,ruta ndo kapotea kimoja?Karibu tena bageshi. Hongera kwa kula Valentine yako kwa raha na utulivu huko visiwani. Likes za kutosha zinakuhusu leo...
Sis, ni wakati ule ukiwa Mwenyekiti wa kampeni za mbunge yule jamaa yako nini? Pole kwa kushindwa. 2020 siyo mbali wallahi...