Wabongo wanataka kijana wa Tandale amuoe Wema ama? Yule mtukanaji wa USA nadhani chuki zake zinatokana na Wema kuachwa. Povu alilomtolea huyu mama utafikiri ni personal wanajuana. Kazi kweli kweli....Wenye wivu wanamsumbua sana ila hii vita ataishinda tu
......Tumeipenda wenyewe, na wavimbe wapasuke, acha waisome nambaa eeeh... CCM mbele kwa mbele. Ndiyo hivyo au nimekosea?
chupa hizo zimetoka kwa friji....
Mida ya wanga laivu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haya..
Na wema hana akili za kujiongeza kimaisha zaidi ya kutaka showoff na maisha ya kujikwezaWabongo wanataka kijana wa Tandale amuoe Wema ama? Yule mtukanaji wa USA nadhani chuki zake zinatokana na Wema kuachwa. Povu alilomtolea huyu mama utafikiri ni personal wanajuana. Kazi kweli kweli....
Salama kabisa,za wewe?Numbisa za ulipokuwa???
Inasemekana ni kingunge wa ulozi....Majiyatanga Mzindakaya
What game? Slay queening?