ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Huyu mama mbona sitaki apate shida jamani!
Huyu mama mbona sitaki apate shida jamani!
Hili neno ni hai aisee
Na ukirudi unajisikia refreshed unaanza upya saaafiiiiJana/juzi alikuwepo. Ameanza kusuasua...
Ndiyo kawaida ya uzi huu. Tunapotea halafu tunarudi...Uzi unasonga mbele....
Sikujua. Hukuweka caption, nami nikachomekea utani. Samahani; na apumzike salama.Wewe Shimba! Huyo ni VIOLET MZINDAKAYA, alifariki mwaka jamani shimba uwiii
Sasa mh! Yaani speechless
Inaonekana Wabongo wengi hawampendi sijui kwa nini. Ni kwa vile siyo Mtanzania ama?Huyu mama mbona sitaki apate shida jamani!
Kwa sababh ana hela kisha kaopoa kijana mwenye hela baasi wanaona anafaidi sanaInaonekana Wabongo wengi hawampendi sijui kwa nini. Ni kwa vile siyo Mtanzania ama?
Wenye wivu wanamsumbua sana ila hii vita ataishinda tuHuyu mama mbona sitaki apate shida jamani!
Yaani yeye hapana kabisa!Sikujua. Hukuweka caption, nami nikachomekea utani. Samahani; na apumzike salama.
2020 lakini utakuwa kilingeni tena au ushaachana na haya mambo ya kisiasa? Tumshawishi Mzee wa Liver agombee ubunge wa Ukerewe tuone itakuwaje...
Good haki ya Mola wangu!Wenye wivu wanamsumbua sana ila hii vita ataishinda tu
Msukuma tu huyuMsukuma au Mnyakyusa?
Uzuri wake sio wa kawaida!Inaonekana Wabongo wengi hawampendi sijui kwa nini. Ni kwa vile siyo Mtanzania ama?
HahahahaMsukuma tu huyu
[emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12]BREAKING NEWS;
Habari iliyotufikia hiv punde... Basi Lenye Namba Za Usajili 'T 767 BWK' kampuni ya Shabiby line Linalosafirisha Abiria Kotoka Dodoma To Dar, Dar To Dodoma Lilokuwa Linatokea Dodoma Kwenda Dar Lilikua Limebeba Abiria 71 wanaume 43 wanawake 28 lilokua linaendeshwa na dereva Amosi John Lilipofika Maeneo Ya Mikese Nyuma Ya Chalinze Lilikutana Na Gari Kubwa La Mizigo Sem Trellar Lenye Namba Za Usajil T 854 AMT lililokuwa linaendeshwa na dereva Abdi Jonh Dereva Wa Basi Alianza Kumuona Dereva Wa Semi Na Kumuwashia Taa Za Mbele (full Light) Baada Ya Hapo Dereva Wa Semi Naye Aliiona Na Kujibu Kwa Kuwasha Na Yeye Taa Za Mbele Full Light Ikiwa Ni Ishara ya Salaam Kwani Madereva Hawa Amosi John Na Abdi Jonh Ni Ndugu Hata Hivyo Mda Mchache Baadae Magari Hayo Yalipishana Na Kuendelea Na Safari Tukio Hilo La Aina Yake Lilitokea Leo Sa 2 Na Robo Asubuhi...
Ni hivyo tu kama hujaridhika basi, lakini hakuna kingine zaidi!!