Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kazi kweli kweli....
39ac5ceaa8fb7f51482172edfa3d77a4.jpg
Jamaa anasaka likes
 
Yaani yeye hapana kabisa!
Mimi huwa namtafuta mbunge mwenye michuzi miiingi alafu nakuwa ndiyo mweka hazina!
Kazi ni kukusanya pesa tu, si unajua mchaga tena na pesa!
Mambo ya ubunge watu wanakufa na pressure! Lahaula no way walahi!
Kuna classmate wangu aligombea 2015. Alichukua mpaka na mikopo benki ili kuongezea lakini kura hazikutosha. Mpaka leo hayuko sawa si kiichumi tu bali hata kiafya. Hata kazi kaacha kawa mtu wa vijiweni tu. Ni risk kubwa wanachukua kwa kweli....

Uweka hazina mzuri kama mgombea anazo za kueleweka. Wengine walinzi tu wa mgombea lakini mpaka kampeni zinaisha unakuta tayari wameshajenga.
 
Visiwa
Kuna visiwa mbalimbali ndani ya ziwa Tanganyika. Vikubwa zaidi ni pamoja na

Visiwa vya Kavala, Mamba-Kayenda, Milima na Kibishie katika sehemu ya Kongo
Visiwa vya Mutonowe na Kumbula katika sehemu ya Zambia
Kisiwa cha Lupita katika sehemu ya Tanzania
 
Kuna spishi nyingi za samaki aina ya cichlidae zinazokadiriwa kuwa 250 na angalau spishi 75 za samaki wengine. Spishi nyingi wanaishi karibu na mwambao na hadi kina cha mita 180; chini yake kiwango cha oksijeni kinapungua mno. Lakini kiasi kikubwa cha samaki kinapatikana katikati ya ziwa, ila ni spishi chache tu, hasa spishi mbili za kapenta (inayoitwa pia dagaa) na spishi nne za sangala.
 
Cichlidae karibu spishi zote ni wenyeji wa ziwa yaani wametokea hapa. Pia sangala ni wenyeji wa Tanganyika, kwa hiyo hakuna matatizo kama huko Viktoria Nyanza ambako spishi ya sangala iliingizwa miaka 50 iliyopita na kuvuruga ekolojia ya ziwa.
 
Back
Top Bottom