Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Uwezo wa binadamu kukaa bila kulala ni jambo ambalo BBC imeliangazia awali.
Utafiti kwenye wanyama, utafiti mmoja ambao uliwashirikisha paka ambao walikufa baada ya kukaa siku 15 bila kualla, ulikuwa umeuliza maswali ya iwapo kuna mambo mengine mfano msongo wa mawazo, mfadhaiko au kemikali mwilini, ambayo huchangia kifo cha mtu aliyekosa usingizi na wala si kukosa usingizi kwenyewe.