Watu Wa pink hatari sanaYaani sielewi kabisa!
Alafu wadhungu walivyo wajanja wakaifanya nchi ya Mali ionekane dhaifu kuliko nchi zote duniani!
Mji mkuu wa Mali,Timbuktu, Hollywood ndiyo wanautumia kama HELL LIKE PLACE!
Ukiangalia deep GHADAFI aliijua hiyo Siri maana vitu alivyofanya nchini kwake kwa kweli ni vya ajabu!
Hata na Omani nako pia...,,
Mansa K Mussa ni trading na Ghadafi ilikuwa Oil!
Mmmh weuweee mliobak ndo mnatakiwa khnipa zawadi hasa wa ubuyu ulionipita
Wacha tumuoneManU Leo nae....
Ubuyu mtamu bana ndo unaongeza afya ya akili na mwiliUbuyu sio mzuri Kwa afya yako! Naona MU wanakipiga leo! [emoji23]
La pruga hakuna kama yeye
Series nzuri sana Korean drama
Song I'll gook