myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
kuna watu na binadamu...
Dogori ngoma safi za usiku wakati Wa mikesha hasa ya harusiMkuu hizo ngoma uliziona wapi? Maana ni ngoma maarufu maeneo ukanda wa pwani za kumtakasa kinyamkera mwana wa shetani. Je zipo pia kanda hiyo?
Hahahahaha
Continue brother
Madogori ni Ngoma kama mdundiko lakini Mara nyingi zinapigwa usiku yaani mkesha wa matukio muhimu hasa hasa HarusiWakerewe pia wanazo unless kama nimekosea jina. Ngoja Yego au Mzee mwenyewe waje watie neno...
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiona manyoya