Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4CBC5B4D-0CCB-4B12-B08F-644649ADD6F5.jpeg
 
Madogori ni Ngoma kama mdundiko lakini Mara nyingi zinapigwa usiku yaani mkesha wa matukio muhimu hasa hasa Harusi
Wilaya za Morogoro vijijini, Bagamoyo, Kibaha, Kisarawe, Mkuranga, Temeke, na maeneo kadhaa ya Dar yanayokaliwa na wenyeji, Dogori au Madogori ni Ngoma maarufu ya kumtukuza Shetani na uzao wake. Ngoma hiyo hupigwa usiku na kuendelea mpaka mchana kwa nia ya kumtibu mgonjwa anayesumbuliwa na shetani na jeshi lake. Kinyamkera, mwenembago, Ruhani nk. Ni ngoma tiba kwa Mira za maeneo hayo ingawa inaanza kupuuzwa
 
Back
Top Bottom