Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati unahangaika kuwasomesha atakuwa ameshaondoka madarakani mkuu. Akili za kuambiwa changanya na zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huwa wanabadilika watu lakini mipango ya serikali huwa inaendelezwa. Atakayefuata tutampa hilo jukumu, maana hata upande ule mwingine nao walishatuahidi elimu bure mpaka chuo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…