Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu vidume ndiyo vilikuwa vinakamata fuku fuku visichana kufunua chuchu zao ili kuwekewa fuku fuku kisha anaanza kuruka na ukelele kwa kuhofia mdudu aliyewekewa! INNOCENT KIDS! Utoto raha sanaaa LoL!
Mkuu wewe ni noma, yani unaenda kumuonyesha msichana kishimo cha fukufuku kisha unamtoa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Amin, Mungu atuepushe na Ukatili huu
 
Hiyo ni huruma, majonzi rambirambi au kitu gani hasa? Wajuvi mnijuze huenda uelewa wangu ni mdogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…