myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unabishana f@r@gh@ jirani....[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni MTU mwema.Katika kitu ambacho siwezi katika maiaha yangu ni ugomvi au hata kubishana yaani siwezi kabisaa.
Ndio maana ligi zikianza huwa nakaa kimya naangalia tu.
Sijui nikoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Kajipanga vizuri huyu!Mama wa Kichaga...Pesa pesa pesaaaaaa....
Hayupo na aliyeko pia hajui[emoji23][emoji23][emoji23]Kaa na mama ni rahisi sana
[emoji134] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ila Shimba....Ma...pa...ra....chi.....chiiiiiiiiiiiii !!!
Aliharibu legacy ya mumewe though...Mpaka wanajimilikisha na migodi kabisa mchana kweupeeee?Kajipanga vizuri huyu!
Jiraniiiiiiii[emoji23][emoji23][emoji23]Unabishana f@r@gh@ jirani....[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni MTU mwema.
Mweeee hajipendi eee au kasahau mwanzoniiiiiii kuleee hahahaNaona siku hizi anakuwinda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahahahha shukran kwa kusahauuuuWewe tunajua kwa uhakika kabisa. Madilu alipofariki ulikuwa darasa la 4...
Unataka unitege nimtaje Shimba.... Simtaji napo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo
Teh teh[emoji23][emoji23][emoji23]Mweeee hajipendi eee au kasahau mwanzoniiiiiii kuleee hahaha
Mdogo wangu ameteseka sana hapa jukwaani. Ifike mahali mumuonee huruma...Pulizi...Mweeee hajipendi eee au kasahau mwanzoniiiiiii kuleee hahaha
Endelea tu kutufungua machoSis, nikuwekee tena hizi au bado unazo? Ndizo zilimfanya mzee wako aache kuniita shilawadu na kuanza kuniita GT...Tumetoka mbali !!!
Mwenzio alimaanisha nyerere[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahha shukran kwa kusahauuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unataka unitege nimtaje Shimba.... Simtaji napo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hilo lilikuwa bomu!Aliharibu legacy ya mumewe though...Mpaka wanajimilikisha na migodi kabisa mchana kweupeeee?
Huruma aanze ISIS kwanza maana enzi zile kijana wa watu alijitolea kupata ban kisa malkia[emoji23][emoji23][emoji23]na bado akala cha mbavu malkia akakimbilia kwa mzee wa iniMdogo wangu ameteseka sana hapa jukwaani. Ifike mahali mumuonee huruma...Pulizi...