Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Handeni kuna kajoto hapa kwa kweli yale mambo yetu mpka jua lipoe nilikuwa nirudi Dodoma ratiba imebadilika nimekuja tena huku
Yote katika kutafuta furusa
Jumapili imekaaje mkuu
Aisee hii jumapili kichwa kinanipasuka kwa kweli, mambo ni mengi na taslimu hamna. Yaani nina shida nayo kinyama...

Yote kwa yote jua la Dar linachosha,nipo tu home naisindikiza jumapili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…