Nadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.Nakumbuka carba alilalamika picha kama hizi anashindwa kufungua huu uzi kwa hofu ya watu wake wakiziona mambo yanaweza kuwa tafrani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Duh basi ngoja nimwite kijana matata mkali wa hesabu hahahaHiyo ya "kijana mpole" tu inatosha[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Niaje kwa mchana huu...
Weken usiku,carba alilalamikia zile za mchana ila usiku ruksa.Nadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.
Kama hazitakiwi kabisa hapa katika muda wo wote semeni. Na CHAWAMITA tuiue kifo cha mende.
Wakuu BAK na @Ho Chi Min mnasemaje kuhusu hii ishu?
Ila usiku si mbaya mwenyekiti mwenye chawamita unakaribia kuua ka chama kako mwenyeweee,uwe unawekapo na wewe hahaNakumbuka carba alilalamika picha kama hizi anashindwa kufungua huu uzi kwa hofu ya watu wake wakiziona mambo yanaweza kuwa tafrani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bado tu hujafikaaa kwa uzi uleee jamanMungu na Anisaidie [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Lakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...Weken usiku,carba alilalamikia zile za mchana ila usiku ruksa.
Msipoweka uzi utadorora bana kuna wengi wanawafatilia na kuona uumbaji murua hata kama hawakoment au ku like ila wanapensa kazi zenu.
Usiku ni muda muafaka wandugu
Tulisema mjaribu kuzipunguza mida ya mchana tena si mimi pekeyangu,kuna wadau wengine walilisema hili.Nadhani alisema zisitumwe wakati wa mchana; na tulimsikiliza. Hata mida yetu ya wanga kumbe hazitakiwi? Picha nyingi ni za mabinti wako beach mchana kweupe wakifurahia maisha na hata leo nikienda beach hapa nakutana nao. No big deal.
Kama hazitakiwi kabisa hapa katika muda wo wote semeni. Na CHAWAMITA tukiue kifo cha mende.
Wakuu BAK na Ho Chi Minh mnasemaje kuhusu hii ishu?
Moudgulf ndiyo unatuchomea mkuu. Watu hawapendi hizi picha mchana. We ndiyo kwanza umekazana kufukua makaburi ya mida ya wanga. Achana nazo mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nyama nyama nyama, nyaama. Nyama ya kuku, nyama....
Kidogo nikuite mkuu hahahaa,nimeangalia chanzo nimekuta ni comment ya moud kisha andjul akaiquote,hivi kwann moud akisema ndo kama kaongelea wengi?kuna kipind alikwambia upunguze mapicha picha na kweli ukapunguza kipind hicho ulikua koromije. Saiv kakoment tu andjul katania umeichukulia serious,mie naona sio kosa lako maana picha umeiweka usiku so kosa ni la aliyeiquote mchana na kukoment yake bora ange like na kuipita bila kuquoteLakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...
Tujadilianeni tu tufikie muafaka kwa sababu hakuna haja ya kuwa tunakwazana wapendwa. Ndiyo maana nimewaita na wenzangu BAK na Mchina nao waje watie neno....
Uzi gani? Ngoja kwanza nipambane na haya malalamiko hapa. CHAWAMITA kinakufa dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Bado tu hujafikaaa kwa uzi uleee jaman
Halafu si mimi pekeyangu niliyelalamika.Weken usiku,carba alilalamikia zile za mchana ila usiku ruksa.
Msipoweka uzi utadorora bana kuna wengi wanawafatilia na kuona uumbaji murua hata kama hawakoment au ku like ila wanapensa kazi zenu.
Usiku ni muda muafaka wandugu
Mtakie Jumapili Njema Umpendaye Humu JFUzi gani? Ngoja kwanza nipambane na haya malalamiko hapa. CHAWAMITA kinakufa dah [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Hizi zinazolalamikiwa mbona ziliwekwa mida ya wanga? Kila mtu yuko huru kuweka anachotaka hapa lakini pia ni muhimu kutokwazana and I am sensitive to that. Huwa sipendi kuumiza/kukwaza watu maishani mwangu. Mbona mambo ya siasa na dini tumekubaliana na kwa kiasi kikubwa ni kama tumefanikiwa? Kuishi na wenzetu vizuri ni pamoja na kusikilizana nao. Ndicho ninachofanya hapa shemeji japo uhuru niliounyakua kwa Numbisa ninao...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tulisema mjaribu kuzipunguza mida ya mchana tena si mimi pekeyangu,kuna wadau wengine walilisema hili.
Hakuna mahala tumesema/nimesema hizi picha zisitumwe na kama ipo sehemu nimesema naomba nikumbushwe.
Hakuna mtu anampangia mtu kutuma kitu humu,kwahiyo kila mtu afanye kila anaona moyo wake unapenda.
Hakuna sehemu watu wamesema hazitakiwi.
Kila mtu anauhuru wa kutuma anachoona kina faa.
Kama kuna aliyekwazika anisamehe.