Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndiyo nini sasa shemeji? Kumbe unakereka hivi? Na huo mbadala ni nini? Kuhama uzi ama? Funguka tu bana kama kabisa kabisa hutaki kuziona hapa mi niko tayari kuachana nazo milele na milele...Pole !!!
Sijakwazika wala sijakereka na hizo picha.
Me nilijibia comment iliyotumwa na niliijibia kwa wakati ule nilivyosema mjaribu kuounguza kuzituma mida ya mchana.

Mlivyoanza kutuma usiku tu mlinisikia nimelalamika?
Halafu mbona naonekana kama ni miminpekeyangu niliyelalamika?

Jamani kila mtu afanye kile anaona moyo wake unapenda.
Mimi sikwaziki narudia tena SIKWAZIKI na hizi picha.

Tumeni tu.

Kama kuna mtu amekwazika na hiyo kauli(ambayo haijasemwa leo ni siku nyingi zimepita)basi ANISAMEHE,sipendi kuwa kikwazo kwa watu.
 
Halafu si mimi pekeyangu niliyelalamika.
Hili jambo kuna mtu alilianzisha me nikasema na mimi ninavyojisikia.
Na mimi nilisemea zile za mchana.

Watu wawe huru kutuma wanachojisikia.
Dont worry carba,ni mie nililalamikia zile za mchina na za BAK za mchana ukaniunga mkono kwa jambo hilo.

Ni kweli mchana zinazingua sana,ila usiku wala hazina matatizo sasa wale wanaoziquote mchana nao ndo waleta keshehe lote bora wa like na kuzipita
 
Kwanimkuna mtu kalalamika leo kuhusu hizi picha?
Naomba nionyeshwe hiyo post tafadhali.
 
Naona kama jambo limekuwa kubwa sijui kwanini.
Halafi yaonekana kama mimi ndo nimelisema.
Nimeumia ndio mana.
 
ASANTE mkuu. Ni tabia yangu kusikiliza maoni ya wengine pia hasa kama ninawajali, kuwapenda na kuwaheshimu. Trust me, najua ninachofanya....
 
Kuna mtu aliahidi siku ukiwa serious hivi atakupa zawadi sijui nani huyo. Ningemuita aje akuone daah hadi nimekuogopa umetirirka gazeti mwenzangu

Ni mie nilianza sema ukaniunga mkono ila hazikupunguzwa daah carba our MD naombea siku moja uwe kiongozi utafanikiwa sana.

Kutajwa ni moja ya kuonesha unakubalika sio kutafutiwa sababu,maadui wala nini,pia usikose raha bwana.
 
Huu mjadala kwangu umeishia hapa.
Muwe na mchana mwema wapendwa.
 
Naona kama jambo limekuwa kubwa sijui kwanini.
Halafi yaonekana kama mimi ndo nimelisema.
Nimeumia ndio mana.
Duh umeumia kabisa kwa maandishi acha hizo be strong my dear. Mie wala siumiagi(may be situation ngumu nilizopitia huku uraian ndo zinaniweka ngangari hata mitandaoni sina hisia za kuumizwa kwa maneno kabisaaa,nikiwa na wakati mgumu nawakumbuka wapendwa wangu hali inakwisha) life is good.
 
Naona kama jambo limekuwa kubwa sijui kwanini.
Halafi yaonekana kama mimi ndo nimelisema.
Nimeumia ndio mana.
Uwiiiiii !!! [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Sijui kwa nini kachukulia serious hivi. Nami naomba nisamehewe jamani. Nilikuwa na nia njema tu ya kuwekana sawa katika uzi wetu huu hasa ukizingatia kuwa tumekuwa kama ndugu wapendwa. Nilidhani kuwa tuko huru kujadiliana tu kwa nia njema kabisa.

Tuendeleeni kula likes bana. Carba samahani sana. Usikubali nikuharibie Jumapili yako kwa jambo dogo kama hili...
 
Sipendi kukwaza watu ndio mana.
Na sipendi mtu akose amani sababu yangu.

Niko na shida moja nikiamua kulipuka huwa nalipuka vizuri tu na nikiamua kukaa kimya nikapotezea huwa nafanya hivyo.
 
Mie nimechukulia utan.

Hope tutarudi sawa kwenye uzi wetu pendwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…