Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Mashetani!!! Hao mashetani na jeshi lake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] !!! Utani tu kwa wale wapenzi na wafuasi wa shetani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa ushindi mnono wa goli 4-1 dhidi ya West Ham United, Klabu ya Liverpool imepanda hadi nafasi ya pili iliyokuwa inashikiliwa kwa muda mrefu na mashetani wekundu Manchester United.
SOMEONE MUST WATCH THIS
PLEASE PLEASE
Mkuu mkuu, usituingilie mi na shemeji na jirani yangu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Hahahahaha
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wacha kabisa
Ila simba mwenda pole.........[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mwambie carba atusamehe kwa kupekua pekua picha za usikuNakumbuka carba alilalamika picha kama hizi anashindwa kufungua huu uzi kwa hofu ya watu wake wakiziona mambo yanaweza kuwa tafrani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii inaitwa abiria chunga mzigo wako[emoji23][emoji23][emoji23]
Jumapili ya burudani kabisa
Pole Dada jirani.Siku hizi nimepata mbadala
Sitalalama tena
Acha watume tu
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Mkuu usihofu godfrey gondwe ni rafiki yangu wa kutupwa Dodoma moja hiyo so far hiyo familia ni kama yangu godwin ni bwana mdogo tu kwetuMzee wa liver naanza kuwa na wasi wasi na wewe kama huyo mtu una mjua basi unanijua. Hahhaha nakaambali na wewe
Kwa nini wanaitwa mashetani? Tena wekundu? Ndiyo maana nilimsikia Sheikh mmoja akiwakoromea waumini wake kuwa wasivae wala kuja na hizi jezi msikitini....Mashetani!!! Hao mashetani na jeshi lake[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] !!! Utani tu kwa wale wapenzi na wafuasi wa shetani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Nahisi nimeshamfahamuMzee wa liver ukimdaka uniq usifiche picha kama unavyozificha za malkia wako pleaseeeeeeeee hahaha
Uniq umejitambulisha rasm mzee wa liver atakusaka kila kona
Hahahahaha uko salama mkuu don't worry anythingNikiwa nae karibu siingii JF
Why?SOMEONE MUST WATCH THIS
PLEASE PLEASE
I hate this game
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Always and Forever[emoji443][emoji443][emoji445][emoji445]
Luther Vandross
Always and forever
Each moment with you
Is just like a dream to me
That somehow came true, yeah
And I know tomorrow
Will still be the same
'Cause we got a life of love
That won't ever change and
Everyday love me your own special way
Melt all my heart away with a smile
Take time to tell me you really care
And we'll share tomorrow together
Ooh baby, I'll always love you forever
Ever, ever, ever
There'll always be sunshine
When I look at you
It's something I can't explain
Just the things that you do
If you get lonely
Call me and take
A second to give to me
That magic you make and
Everyday love me your own special way
Melt all my heart away with a smile
Take time to tell me you really care
And we'll share tomorrow together
Baby, baby, I'll always love you, forever
Mkimaliza kikao mnipe taarifa ya kile mlichoamuaLakini hizi zinazolalamikiwa niliziweka mwenyewe na niko very careful kutovuka kiwango cha maadili. Niliziweka saa tisa usiku. Na still kuna malalamiko...
Tujadilianeni tu tufikie muafaka kwa sababu hakuna haja ya kuwa tunakwazana wapendwa. Ndiyo maana nimewaita na wenzangu BAK na Mchina nao waje watie neno....
Thanks my napata jack daniel kwa furaha hapaHahahaha
Namtania tu walahi!
Mimi ni kwako tu my dear!