Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ee man u damu damu.
Mmh kuna zile mnawekaga mchana aiseee kuna moja uliiweka nikakutag na kukwambia hazifai wakati wa mchana sio nzuri na nikaandika comment ya kumtaka shimba awaambie muwe mnaziweka usiku,nikaungwa mkono na wengi.
Muwe mnaweka usiku bana,mchana zinazingua macho yasiyo na pazia
Aiseeeee...Kisa tu ni hizi picha?Mmmhhh goodnight
Savage [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo safi ukiumia unanipa furaha hahahah
Inaonekana hizi picha mkuu zinakera watu kweli kweli. Hata usiku huu wa manane bado ni ishu. Unashauri tufanyeje? Una mpango wa kuachana nazo ama?[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️Samahani sikuiona tag yako lazima ningekujibu tu. Sipendi kuacha kujibu watu ninaowaheshimu humu walinioquote ila saa nyingine unakuta kuna alerts 400 za likes na quotes huwa najitahidi kuzijibu za wale ninaowaheshimu humu lakini saa nyingine muda hauruhusu kuzijibu zote.
Ohhhaiseee
Kaaazi kweli kweliInaonekana hizi picha mkuu zinakera watu kweli kweli. Hata usiku huu wa manane bado ni ishu. Unashauri tufanyeje? Una mpango wa kuachana nazo ama?[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Mie nipo koromije huku saiv saa sita na dakika 40 mtaa mzima wameshalala kasoro mie tu,wala picha hazihusiki kabisaaa,wacha nilale niote mechi nzima ya man u vs chelsea 2-1Aiseeeee...Kisa tu ni hizi picha?
Anyway Good night...
Inaonekana hizi picha mkuu zinakera watu kweli kweli. Hata usiku huu wa manane bado ni ishu. Unashauri tufanyeje? Una mpango wa kuachana nazo ama?[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️
Usijali bak. Its ok. Kuweni huru maana hata mie nakeraga watu kwa magazeti mia mia nnayomwaga humu.Samahani sikuiona tag yako lazima ningekujibu tu. Sipendi kuacha kujibu watu ninaowaheshimu humu walinioquote ila saa nyingine unakuta kuna alerts 400 za likes na quotes huwa najitahidi kuzijibu za wale ninaowaheshimu humu lakini saa nyingine muda hauruhusu kuzijibu zote.
Duh jamaniMsanii wa muziki kutoka Marekani mwenye asili ya Senegal, AKON ombi lake la kutaka kusaidia kurejesha umeme katika visiwa vya Puerto Rico limekataliwa na serikali ya Marekani.